#CHIMBOLAFAMBO
HISTORIA YA WAMAKONDE NA KUJICHORA CHORA USONI
Wamakonde ni moja la kabila la kibantu linalopatikana kusini mwa tanzania na kaskazini mwa nchi ya msumbiji. Lugha yao ya asili ni kimakonde ambacho chenyewe kina mgawanyiko kulingana na mazingira yaan kuna kimakonde

Cha pwani (kimaraba) na kimakonde cha bara (kimawiya)
Je ni nini sababu ya kuanza kujichorachora kwenye miili yao..???
Inasadikika mnamo karne ya 16~19 yaan miaka ya 1500 had 1800, biashara ya utumwa ilishamiri sana katika pwani ya Afrika mashariki. Huko kusini mwa tanzania na

Kaskazini mwa msumbiji kulikuwa na njia kubwa ya usafirishaji wa watumw iliyoongozwa na wamakua na baadae wayao (rejea historia ya wayao), hivyo kulikuwa na mahitaji makubwa ya watumwa na wamakonde ni moja la kabila lililokuwa chanzo kikubwa cha watumwa. Kwa wakati huo ili mtu
achukuliwe kama mtumwa ilibidi awe amekamilika viungo vyake vyote na asiwe na majeraha yoyote katika mwili wake. Sasa wamakonde waliamua kukata vidole, kuchonga meno, kuchanja chale na kutoboa mdomo ( kuweka ndonya) ili wafanyabiashara watakapokuja wasiwachukue, na kwel iliwa
saidia sana kwani wengi wao waliachwa kwa kudhani huenda wana ugonjwa unaopelekea kuwatoa mapele ama alama mbalimbali katika sehemu za mwili wao. Ifahamike kama sio kwamba wafanya biashara walikuwa hawana utamaduni wa kujichora la hasha!!, ila kwa wamakonde ilikuwa tofauti, wao
Ilikuwa tofauti kwani walikuwa wanachimba miili yao kwa kutumia vitu vyenye ncha kali na wakati mwingine vidonda vyenye kutisha kwenye miili yao
Na baada ya kuonekana wakifanya hivyo hawachukuliwi utumwani basi ukaendelea kuwa utaratibu na utamaduni wao wa sehemu ya maisha ya
Na baada ya kuonekana wakifanya hivyo hawachukuliwi utumwani basi ukaendelea kuwa utaratibu na utamaduni wao wa sehemu ya maisha ya
maisha ya kila siku na mtu ambaye hakufanya hivyo alionekana kama ni mtumwa. Hata baada ya kuisha biashara ya utumwa bado waliendelea na utamaduni huo kwani ulikuwa umezoeleka kama sehemu ya maisha ya kabila hilo.
#chimbolafambo @mpambazi_ @LusakoWaKwanza @chapo255 @DosaRahma
#chimbolafambo @mpambazi_ @LusakoWaKwanza @chapo255 @DosaRahma