FURSA KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE
Yes, unawezakua mwanafunzi anaetarajia kumaliza chuo mwaka huu au mwajiriwa na mjasiriamali unaewaza mradi mpya wa kufungua!
Basi nguruwe anaweza kukuingizia mpaka 10Mil per year
#ElimikaWikiendi Short Thread

Ufugaji wake sio wa gharama sana maana anakula kile mtu anachokula hasa mabaki. Karibu nikufungue namna nguruwe anavoweza kutoa hela ila tuu managements zingine nadhani unaweza kutafuta kwa wataalamu ( even me @Vet_doctor87 ) hapa nakufumbua macho
Kiufupi nguruwe akiwa kwenye matunzo mazuri anaweza kuzaa watoto (piglets ) mpaka 12. Na mimba yake huchukua Miezi 3, Wiki 3 na siku 3 sawa na siku 114 hivo basi kuweza kuzaa mara mbili kwa mwaka na kwa makadirio ni kwamba kwa mwaka mmoja anaweza kukupatia piglets 24
Nguruwe yeye anapenda kula hivo unachotakiwa kufanya ili kufikia malengo wewe mlishe vema ambapo 5-6kg ya chakula inaweza kumuongezea 1kg.
Sasa basi, kila siku nguruwe huongezeka kilo 0.5 na anaachishwa kunyonya baada ya miezi 2 akiwa na uzito wa makadirio ya 15kg
Sasa basi, kila siku nguruwe huongezeka kilo 0.5 na anaachishwa kunyonya baada ya miezi 2 akiwa na uzito wa makadirio ya 15kg
Kwa mahesabu ya kawaida ni kwamba
•kwa sababu kila siku anaongezeka uzito 0.5kg na anaachishwa kunyonya akiwa na 15kg ( 2months) ili afikie uzito 90kg ambao ni uzito wa kuchinjwa itahitaji miezi 5 (150days)
•kwa sababu kila siku anaongezeka uzito 0.5kg na anaachishwa kunyonya akiwa na 15kg ( 2months) ili afikie uzito 90kg ambao ni uzito wa kuchinjwa itahitaji miezi 5 (150days)
Wengi wanafuga kwa lengo la kuuza kama nyama (carcass ) na wengine wanawakuza wakifika umri flani wanauza hawasubiri mpaka afikie uzito wote huo.
So, 60-75% ya mwili wa nguruwe unaliwa ambapo katika nguruwe mwenye uzito 90kg basi 80kg zote zitaenda sokoni.
So, 60-75% ya mwili wa nguruwe unaliwa ambapo katika nguruwe mwenye uzito 90kg basi 80kg zote zitaenda sokoni.
1kg ya kitimoto ni 10000Tsh, nguruwe mmoja ana 80kg zinazouzika net gain ni 800k..Imagine umewakuza wote 20 means you will gain up to 16Mil 
(10000Tsh ni bei ya mahali nilipo)
So jaribu kufikiria kuhusu nguruwe, angalia management, aina ya nguruwe unaotaka kufuga

(10000Tsh ni bei ya mahali nilipo)
So jaribu kufikiria kuhusu nguruwe, angalia management, aina ya nguruwe unaotaka kufuga
CHAKULA, chanjo na madawa..Kuna hela kwenye nguruwe usimchukulie poa mfugaji wa nguruwe
#ElimikaWikiendi
http://www.nohtalk.com
#ElimikaWikiendi
http://www.nohtalk.com