Ever hired screen na PS4 and the worst happens💔💔 this is the thread🔥👇....
Kuna kama stuff huleta morio pamoja ni FIFA pombe hukuja no 2 😂.. Kuhire inakuwaga friday ndo mnacheza usiku mzima na sato unalala mpaka EPL ianze 😋 sa unaskip lunch kimisteriously. Juu mimi ndo nakuaga na three seater kwa my gazebo PS huletwa kwangu.
Kwa ploti niko na mabeshte zangu majirani apo mafifa addict but hawatakagi kutoa dooh 😂 wanagate crash kwa fifa bana. So ii friday mimi na mamorio wangu tukasema leo hatuwaiti 😂wakae na mama yao kejani.
Tulikuwa wanne na kuhire ps ni 400 sa tukadai ndo tujibambe fully tushikshe nyama ya kitu 300 😂😂mwenye nyumba mimi natoa gas nyanya na sufuria. This is the best part of campus bedsitter chronicles 😋 mnakuaga accountable mpaka 2bob
kuhire inaanzaga from 8 sa genge tunapatana movie shop 7:40. Nkachukua dooh juu mimi ndo nilikua naacha ID na pia ps inaenda kwangu so mimi ndo accountabe still. After kulipa kila mtu anashika stuff yake 😂 mimi ni wa screen mwingine ps na the rest each pad
Kufika kejani tukaeka screen hapo ndo tujipange na stuff za kudishi. Kahawa hukua essential 😂so Boyz mmoja akasema ako na yake premier from majuu ataendea kejani mimi naye nilikuwa naishia kubuy nyama na lazima ningeenda na company nisinunue nyama ya soo 😂
trust issues hukua campus ogopa. Tuliacha jonte kejani juu pia alikuaga crushie wa neighbor wangu hapo. Keja yangu hukua na zile mlango za ofisi 😂yenye unalock na ufunguo si kaa hii yenyu iko na kufuli kama nyumba ya umbwa 😂😂. Juu
sa jonte alikuwa tu hapo sikuona haja ya kumwachia funguo tukaishia teketeke butchery before tupatane mmni mifupa imebaki solo. Jonte na yeye alienda kusalimia crushie wake sa akarudisha tu mlango juu ata nani
anakuja kuniiba dewise na gas 😂😂. Tukashamaliza kubuy stuff za kupika sa tulikuwa tunategea iano akam na kahawa tuishie makejani. After kuja tukaishia tukapata jonte hayuko ako huko anaomba tu. Kuangalia kwa bed penye tuliacha screen
haiko 😡💔💔. Ama tumeconfuse nyumba tukaita jonte atushow amepeleka wapi screen nugu iliacha mlango open na screen na ps ziko signed out under mimi saa ni mimi nalipa zote😭😭. Tukiwa hapo nje tunaargue wale maroomates wawili wakaingia wakiishia room yao
tukawauliza kama wameona ps na screen wakasema ata ndo wanaingia ploti saii. 💔hii ilikuwa nightmare sa tukaanza blame game mara jonte mara mimi ningeacha ufunguo wah tukaingia kwa nyumba sasa sa the only thing imebaki kwa meza ni nyama ya 300
Oyah mnasuggest aje na hii nyama juu haitajikula iano anaongelea nyama mimu nikifikiria kuhu 60k penye inatoka 😂😡. Kiasi tukaona ukweli nyama hatuezi tupa ikabid tumeshare hii siku ndo ata nilijua nyama ya 300 hukua 56 pieces
sa ni kupiga hesabu juu mimi sijutoa dooh ya nyama wao wanachukua 15 tunyamas na mimi nachukua 11 😂inaitwa bedsitter nyama allocation fund. Manze hapo ata singecomplain nilikuwa na panic attack ata sa kila mtu akachukua nyama zake na juu kapaper ya kufunga haingetosha Iano aliek
a yake kwa mfuko😂😂ogopa comrade oyah .. mimi nkapika yangu akili ikiwa venye nandanganya mzazi tunaenda trip dubai na ni a must 😪 .. kama hujawai onja nyama inataste sukuma hii ya leo ilikuwa kama sukuma ata sikumaliza
Nko tukufigure out aje sasa tumeoshwa ps. Kumbe zile maroomates mbili ziliona tukileta ps na hatukua tumewashow zikangoja jonte atoke ndo zichukue ps. Kulala nayo ilikuwa tu ngumu sa usingizi ilinishika masaa tisa apo na zile umbwa mbili 6 ndo zinaknock mlango na nguvu 😡
Sa nkaamka na mausingizi nione nugu gani inaniomba pan 😂 juu hawa madem walikuwa wamenizoea. Kuamka napata screen na ps hapo 😂 the house was filled with joy na juu sa sijui nani alikuwa amechukua singepigia akina jonte wakam
niliseti machine hapo Raha jipe mwenyewe after all si walikuwa wamesema nisort venye ntalipa shiet 😂😂.....
Follow me tuchape 10k @nakurugoat na Retweet tueneze injili😂🔥
You can follow @nakurugoat.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.