Kidogo kidogo unashangaa cuzo yako Rao amepotelea wapi kumbe fom ilishajipa
Ju ww huna kadame unaanza kubishana na kamtu fulani hapo ka Chelsea
Kidogo kidogo unaspot kadame fulani kakiwa kwa dance floor na beshte yake
Unaingia dance floor kiujanja ndio uone ka fom itajipa
Beshte yake anacheza kiyeye anajitoa mnabaki kwa dance floor na yeye
Kadame kanaingia box ata mnaanza kuzikwenda kistaarabu
Unaanza kumtolea jokes kali kali kumbe ni ile mali ya pedi inatuma uangushe mistari kali hivyo
Story zinashika kuruka
Kiasi kiasi cuzo yako Rao anakuita kando anakuambia mjikate masaa ya curfew inafika
Inabidi upige kale kadame hug ukaambie bye
Mnafika mtaani usiku mnapanga ww ndio utaenda kuchocha guks ju yy hukuamini
"Guks tumerudi, tulikuwa kwa kina mama Njoroge na amekusalimia sana"
Cuzo yako Rao hajaamini ati guks ameingia box
Mnapiga handshake ju ya Vile hio fom ilijipa, mnaenda kulala.
THE END
Retweet and Like 😁🙏🏾
You can follow @realdextrous.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled:

By continuing to use the site, you are consenting to the use of cookies as explained in our Cookie Policy to improve your experience.